Siku hizi vijana wengi wamepunguza hofu ya Mungu ,wamesahau kwamba wao wameumbwa kwamba wana mwanzo na ipo siku watafika mwisho wao sijui kwa nini imekuwa hivi
unakuta heshima kati ya kijana na mtu mzima imepungua upendo umepoa wandugu kwa nini hivi ndugu zangu
KUPUNGUA KWA HOFU YA MUNGU KWA VIJANA
Page: 1
Posts 1 to 2 of 2
Share12016-10-30 11:42:05
Share22016-10-30 12:55:14
raha ya mambo haya uwe umeshiriki hata kwa mujibu full moral
Page: 1